Posted By Posted On

Yanga Inafaidika Na Wachezaji Wa Simba

Yanga na Simba wamekuwa wakichukuliana wachezaji kwa mbinde sana, baada ya hapo wengi wakitarajia kuona vitu vizuri kutoka kwa wachezahi hao. Wakati wanatoka katika timu zao husika wanakuwa wa moto sana lakini wakifika eneo lao jipya la kufanyia kazi matokeo yanakuwa hafifu sana yaani ‘Work done is equal to zero’. Yanga imekuwa inafaidika zaidi na wachezaji wanaotoka Simba kuliko wale wanaotoka…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *