Posted By Posted On

Baada ya kufunga goli dhidi ya Monaco, mshambuliaji wa Lyon Memphis Depay alionesha maandishi ya kumtia moyo mchezaji mwenzake w…

Baada ya kufunga goli dhidi ya Monaco, mshambuliaji wa Lyon Memphis Depay alionesha maandishi ya kumtia moyo mchezaji mwenzake wa Uholanzi Virgil Van Dijk ambaye yupo nje ya uwanja baada ya kuumia goti.
#sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *