
Baada ya miaka 47 Leicester City usiku wa kuamkia leo wamepata ushindi ugenini dhidi ya Arsenal. Mshambuliaji wa Leicester City…
Baada ya miaka 47 Leicester City usiku wa kuamkia leo wamepata ushindi ugenini dhidi ya Arsenal.
Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy vs Arsenal
🏟️Mechi – 1️⃣2️⃣
⚽Mabao – 1️⃣1️⃣
Jamie Vardy vs ‘Big Six’:
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️ vs Arsenal
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️ vs Man City
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️ vs Liverpool
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️ vs Spurs
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️ vs Man Utd
⚽️⚽️⚽️⚽️ vs Chelsea
Nyota 4 waliofunga mabao 10+ kwenye Premier League dhidi ya Arsenal:
🏴 Wayne Rooney (12)
🏴 Jamie Vardy (11)
🏴 Harry Kane (10)
🏴 Robbie Fowler (10)
BIG. GAME. PLAYER
,
Comments (0)