Posted By Posted On

Kiungo wa Man United Paul Pogba amekanushaa taarifa za kujitoa katika timu ya Taifa ya Ufaransa kwa madai ya kuchukizwa na kauli…

Kiungo wa Man United Paul Pogba amekanushaa taarifa za kujitoa katika timu ya Taifa ya Ufaransa kwa madai ya kuchukizwa na kauli ya Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron aliyesema kuwa “Dini ya kiislamu ndio chanzo cha Ugaidi wa Kimataifa”
Rais huyo alitoa kauli hiyo hivi karibuni mara baada ya mwalimu mmoja anayefahamika kwa jina la Samuel Paty,47, kuuliwa huko Paris hivi karibuni.
Mwalimu huyo aliuliwa kwa kukatwa kichwa akiwa anaelekea nyumbani kwake baada ya kuwaonesha wanafunzi wake katuni ya Mtume Muhammad wakati anafundisha darasani

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *