Posted By Posted On

LALIGA WAISHUKURU YANGA AFRIKA – Kampuni ya Laliga imeishukuru klabu ya Yanga Kufuatia kujumuika Nao kutazama mchezo wa El clas…

LALIGA WAISHUKURU YANGA AFRIKA

Kampuni ya Laliga imeishukuru klabu ya Yanga Kufuatia kujumuika Nao kutazama mchezo wa El classico uliopigwa Juzi Jumamosi

Kupitia Ukurasa wao Rasmi wa Instagram @laliga wameandika “🤝 Tunatoa shukrani kwa washirika wetu timu ya Young Africans SC kwa kujumika pamoja kushuhudia mchezo wa El Classico “
@laliga @yangasc @antonionugaz @hbumbuli @caamil_88

Via @oscarnickson20

#sokaplaceupdates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *