Lewis Hamilton kuvunja rekodi ya Michael Schumacher
Rekodi zipo kwa ajili ya kuvunjwa. Huo ni msemo maarufu duniani. Msemo huo unafaa kutumika katika mafanikio ya mwendesha magari maarufu Lewis Hamilton, ambaye anaelekea kuvunja rekodi za mkali wa mashindano ya magari Michael Schumacher. Ushindi wa Hamilton kwenye mashindano ya magari ya nchini Ureno maarufu Pourtuguse Grand Prix wikiendi iliyipita ulikuwa wa 92 tangu alipoanza kushiriki mashindano…
,
Comments (0)