Posted By Posted On

NAHODHA WA SIMBA AMPONGEZA MSHAMBULIAJI WA YANGA – Nahodha wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam John bocco amempongeza Mshambulia…

NAHODHA WA SIMBA AMPONGEZA MSHAMBULIAJI WA YANGA

Nahodha wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam John bocco amempongeza Mshambuliaji wa Yanga Waziri Juniour Baada ya Kuisaidia Timu yake ya Yanga Kuibuka na Ushindi wa Mabao 2-1 Katika Uwanja wa CCM Kirumba Hapo Jana Dhidi ya KMC

Pongezi hizo amezitoa kupitia Comment aliyoiweka katika Ukurasa wa Mtandao wa Kijamii wa Mchambuzi wa Michezo @geoff_lea aliyempongeza mshambuliaji Huyo

#sokaplaceupdates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *