Posted By Posted On

POGBA AKANUSHA KUJIENGUA TIMU YA TAIFA YA UFARANSA – Kiungo wa Klabu ya Manchester United Paul Pogba amekanusha taarifa Iliyorip…

POGBA AKANUSHA KUJIENGUA TIMU YA TAIFA YA UFARANSA

Kiungo wa Klabu ya Manchester United Paul Pogba amekanusha taarifa Iliyoripotiwa na Mtandao wa TheSun kuwa Umejiengua Kuitumikia Timu ya Taifa ya Ufaransa

Pogba Amekanusha Uvumi huo Unaoeleza kuwa Amejiweka kando na Timu Hiyo ya Taifa ya Ufaransa Kufuatia Raisi ya Taifa Hilo Emmanuel Macron kuhusisha Uislam na Ugaidi wa kimataifa

Chanzo: Daily mirror

Na @oscarnickson20

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *