Posted By Posted On

Raundi ya 8 Ligi kuu ya Vodacom kukamilika leo kwa michezo 3 Baada ya kupoteza mchezo uliopita Mabingwa watetezi Simba SC leo …

Raundi ya 8 Ligi kuu ya Vodacom kukamilika leo kwa michezo 3

Baada ya kupoteza mchezo uliopita Mabingwa watetezi Simba SC leo wapo dimba la Uhuru kupepetana na Ruvu Shooting ambao walitoka sare mchezo uliopita. Je leo ni mnyama ama Ruvu shooting nani kuondoka na pointi 3?

Vinara Azam FC leo wapo ugenini katika dimba la Jamhuri kuumana na Mtibwa Sugar. Je Azam FC kuendeleza wimbi la ushindi ama Mtibwa Sugar kuondoka na pointi 3?..shughuli nzima ni kuanzia saa 10:00 Jioni.

Baada ya kumpasua mnyama wajelajela Tanzania Prisons leo wapo dimba la Samora kuwakabili Dodoma Jiji, Je ni Prisons ama Dodoma Jiji nani kuondoka na pointi 3?

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *