Posted By Posted On

Senzo afichua kile kilichomtoa Simba ghafla- 1

KATIKA mambo yaliyowavuruga Yanga kwenye usajili wa dirisha kubwa lililopita ni uhamisho wa utata wa winga wao, Bernard Morrison, alipotimkia Simba, lakini nao waliamua kujibu mapigo kwa kumchukua Mtendaji Mkuu wao, Senzo Mazingisa na kuwa Mshauri Mkuu Jangwani,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *