
#VPL Muonekano wa Dimba la Uhuru Ni saa chache tu zimesalia kabla Mnyama Simba SC kuvaana na ‘Wazee wa kupapasa’ Ruvu Shooting…
#VPL Muonekano wa Dimba la Uhuru
Ni saa chache tu zimesalia kabla Mnyama Simba SC kuvaana na ‘Wazee wa kupapasa’ Ruvu Shooting, hali ya uwanja wa Uhuru inavutia ikiashiria kuwa saa 10:00 jioni mambo yatakuwa matamu.
Je, litapigwa pira biriani ama pira kishori au ni lile pira Kaukau kutoka kwa Masau Bwire ???
,
Comments (0)