Wawa, Onyango wazua jambo simba
MABEKI wa kati wa Simba, Pascal Wawa na Joash Onyango wamezua jambo baada ya kubainika kombinesheni yao ndio kali na isiyoruhusu mabao kirahisi na kufanya wadau wamtahadharishe Kocha Sven Vandenbroeck kukomaa nao kama anataka kuwa salama Msimbazi.,Read More
Comments (0)