Kurasini sasa wataka ubingwa wa Afrika
Dar es Salaam. Baada ya timu ya Kurasini Heat kuifunga Oilers kwa pointi 76-59 katika fainali ya Ligi ya Taifa ya Kikapu (NBL), kocha wa timu hiyo, Shendu Mwangalla amesema kitakachofuata kwa sasa ni kubeba ubingwa wa Afrika.,Read More
Comments (0)