Ondoka tu.. Pogba apewa makavu Man United
MANCHESTER ENGLAND. WE nenda tu. Gwiji la Manchester United, Paul Ince amemwambia kiungo Paul Pogba “ondoka” ikiwa ni wiki chache tu zimepita tangu supastaa huyo wa Ufaransa kukiri ndoto zake ni kwenda kuichezea Real Madrid.,Read More
Comments (0)