Posted By Posted On

Sven Akalia Kuti Kavu Msimbazi Kwa mujibu wa Mwanahabari Nuhu Adams, uongozi wa Simba SC haufurahishwi na matokeo ya mechi za h…

Sven Akalia Kuti Kavu Msimbazi

Kwa mujibu wa Mwanahabari Nuhu Adams, uongozi wa Simba SC haufurahishwi na matokeo ya mechi za hivi karibuni na utakaa kuamua hatma ya kocha mkuu Sven Vandenbroeck kama mambo hayatabadilika kwenye mechi zijazo.

Inaelezwa Sven haelewani na baadhi ya wachezaji jambo ambalo linaathiri matokeo ya timu.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *