Posted By Posted On

Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars inataraji kuingia kambini kujiandaa na michezo ya kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Comoro, w…

Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars inataraji kuingia kambini kujiandaa na michezo ya kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Comoro, wachezaji wa ndani kuingia kambini Oktoba 28 2020 na wachezaji wanaocheza nje ya Kenya kuingia kambini Novemba 1 2020.

Kenya itacheza michezo miwili na Comoro, Novemba 11 ambapo watakuwa nyumbani Kasarani na marudiano Novemba 15 nchini Comoro.
Sasa Kenya ipo nafasi ya pili katika Kundi G ikiwa alama 2 baada ya kupata sare katika michezo yake miwili ya mwanzo dhidi ya Misri na Togo, huku Comoro wakiongoza kwa kuwa na alama nne.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *