Posted By Posted On

Ame arejea kikosini Simba

BEKI wa kati wa Simba, Ibrahim Ame amepona majeraha yake ya goti na mkono wa kulia ambavyo aliumia katika mechi ya kirafiki na Mlandege ambayo iliyochezwa Oktoba 17, 2020 Uwanja wa Azam Complex.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *