
Hadi Simba na Yanga zimecheza jumla ya michezo 7 VPL kila mmoja, huku orodha ya waamuzi ikiwa ni hii hap⤵ SIMBA Vs Ihefu➡️Mart…
Hadi Simba na Yanga zimecheza jumla ya michezo 7 VPL kila mmoja, huku orodha ya waamuzi ikiwa ni hii hap⤵
SIMBA
Vs Ihefu➡️Martin Saanya
Vs Mtibwa➡️Hussein Athmani
Vs Gwambina➡️Rahmed Arajiga
Vs Biashara United➡️Abel William
VsJKT Tanzania➡️Hans Mabena
Vs TZ Prisons↔Shomary Lawi
Vs Ruvu Shooting➡️Abdallah Mwinyimkuu
YANGA
Vs TZ Prisons➡️Emmanuel Mwandembwa
Vs Mbeya City➡️Omary Mdoe
Vs Kagera Sugar➡️Hussein Athumani
Vs Mtibwa Sugar➡️Abel William
Vs Coastal Union➡️Seleman Nonga
Vs Polisi TZ➡️Abdallah Mwinyimkuu
Vs KMC➡️Ramadhan Kayoko
Katika hiyo orodha kuna waamuzi watatu wamecheza kote kote yaani Simba na Yanga. Abdallah Mwinyimkuu,Hussein Athumani na Abel William.
.
Yote kwa yote kwa ujumla wake orodha nzima….
1️⃣Mwamuzi gani kaboronga zaidi?
2️⃣Mwamuzi yupi kafanya vizuri sana?
3️⃣Pilato gani maji kupwa,maji kujaa?
,
Comments (0)