Kiduku aonywa
Dar es Salaam. Wakati mashabiki wa ndondi nchini wakihesabu siku kushuhudia pambano la ubingwa wa mabara la WBC kati ya Twaha ‘Kiduku’ Kassim na Sirimongkhon Iamthuam ‘Sirimongkol Singwancha’ wa Thailand, bondia nyota wa zamani, Mbwana Matumla amempa mbinu Kiduku.,Read More
Comments (0)