
Klabu ya Espérance ya Tunis 🇹🇳 imetangaza kumsajili kipa wa kimataifa wa Tunisia Farouk Ben Mustapha (31) kwa uhamisho wa bure….
Klabu ya Espérance ya Tunis 🇹🇳 imetangaza kumsajili kipa wa kimataifa wa Tunisia Farouk Ben Mustapha (31) kwa uhamisho wa bure.
Mustapha aliondoka Al-Shabab FC ya Saudi Arabia baada ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu wa 2019/2020.
#sokaplaceupdates
,
Comments (0)