Posted By Posted On

MAN CITY YAWACHAPA MARSEILLE 3-0 PALE PALE UFARANSA


Wachezaji wa Manchester City wakipongezana baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Marseille mabao ya Ferran Torres dakika ya 18 Ilkay Gundogan dakika ya 76 na Raheem Sterling dakika ya 81 kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Orange Velodrome
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *