Posted By Posted On

REAL CHUPUCHUPU KUPIGWA UJERUMANI, YATOA SARE 2-2


Casemiro akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji, Borussia Moenchengladbach kwenye mchezo wa Kundi B usiku wa jana Uwanja wa im BORUSSIA-PARK. Bao lingine la Real Madrid lilifungwa na Karim Benzema dakika ya 87, baada ya Borussia Moenchengladbach kutangulia kwa mabao ya Marcus Thuram, mtoto wa mchezaji wa zamani wa Ufaransa, Lilian Thuram dakika ya 33 na 58
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *