Posted By Posted On

SENZO ATHIBITISHA, MAKOSA YALIFANYIKA KUMSHUSHA ZLATKO YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog; Mshauri wa uongozi wa Yanga, Senzo Masingisa amesema walifanya makosa kumshusha Zlatko, hata hivyo wakaamua kuchukua maamuzi magumu haraka

“Wakati nafika hapa Yanga nilikuta tayari uongozi ulikuwa katika mazungumzo ya kumleta kocha Cedric Kaze kuja kuchukua nafasi ya Luc Eymael,” anasema.

“Bahati mbaya sana Kaze mwenyewe baadaye akatoa udhuru kwamba hataweza kuja – tena kutokana na kukabiliwa na matatizo binafsi kwamba mmoja kati ya wanafamilia yake ni mgonjwa na hataweza kuja kwa wakati ambao klabu ilimhitaji, kwa hiyo baada ya hapo klabu ikaanza kufikiria kipi kifanyike kwa kuwa hatuwezi kuendelea kumsubiri Kaze.

“Ikumbukwe………

SOMA ZAIDI KATIKA TOLEO LA OKTOBA26,UPDATE APP YA YANGANEWS.

HII NI TOLEO LIPYAA, IMETOLEWA OKTOBA 26, 2020.

HILI TOLEO UNAWEZA KUFUNGUA HATA KAMA HAUNA MB.

UPDATE HIVI SASA, BONYEZA HII LINK.

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yanghttps://play.google.com/store/apps/detailshttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.weblinehttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yangaapphttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yanghttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.weblaappaapp.yangaapp?id=com.webline.yangaappaapp

AU NENDA PLAYSTORE, ANDIKA YANGA NEWS

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *