Posted By Posted On

Sven wa Simba Ajiandae Kisaikolojia

Kadri siku zinazoenda utagundua kuwa Sven Vandenbroeck siku za kukalia kiti cha kocha mkuu wa timu ya Simba inazidi kuwa finyu kwa matokeo pamoja na mitafaruku na wachezaji. Simba imeshapoteza michezo miwili mfululizo hadi sasa huku timu ikioneka kwenda katika njia mbaya. Mtu wa kwanza kubeba gunia la misumari ni kocha mkuu wa timu hiyo Sven kisha dirisha la usajili likifika ndipo mchezaji naye…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *