
Baada ya kuachana na klabu ya Tshakhuma Tsha Madzivhandila FC ya Africa kusini, Beki wa kimataifa wa Kenya π°πͺ, Brian Mandela Ony…
Baada ya kuachana na klabu ya Tshakhuma Tsha Madzivhandila FC ya Africa kusini, Beki wa kimataifa wa Kenya π°πͺ, Brian Mandela Onyango (26) amejiunga na Mamelodi Sundowns FC kwa mkataba wa miaka 3.
,
Comments (0)