
Beki wa kimataifa wa Kenya π°πͺ na klabu ya Nkana Football Club ya Zambia πΏπ², Musa Mohammed (29) amejiunga na klabu ya Difaa Hass…
Beki wa kimataifa wa Kenya π°πͺ na klabu ya Nkana Football Club ya Zambia πΏπ², Musa Mohammed (29) amejiunga na klabu ya Difaa Hassani El Jadida ya Morocco kwa ajili ya msimu wa 2020/2021.
,
Comments (0)