Posted By Posted On

Beki wa Namungo, Rogers Gabriel akubali mziki wa mshambuliaji wa zamani wa Simba sc na sasa klabu ya Al Ittihad ya Misri Emmanue…

Beki wa Namungo, Rogers Gabriel akubali mziki wa mshambuliaji wa zamani wa Simba sc na sasa klabu ya Al Ittihad ya Misri Emmanuel Okwi
.
.
“Okwi ni mchezaji ambaye muda wote anataka matokeo yani, anakuja golini kwenu na sio kurudi nyuma, namuona hana mzaha anapokuwa uwanjani”

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *