Huko Simba wanaofuata ni hawa
WAKATI mashabiki wakiwa bado wana hasira ya kushuhudia timu yao ikifungwa mechi mbili mfululizo dhidi ya maafande, mabosi wa klabu hiyo wameanza kusafisha benchi la ufundi ambapo baada ya meneja na kocha wa makipa, inaelezwa wanaofuata ni makocha wenyewe.,Read More
Comments (0)