Posted By Posted On

Klabu ya soka ya Simba imethibitisha kuwa imeachana rasmi na kocha wa makipa Mohamed Muharami na meneja wa timu Patrick Rweyemam…

Klabu ya soka ya Simba imethibitisha kuwa imeachana rasmi na kocha wa makipa Mohamed Muharami na meneja wa timu Patrick Rweyemamu. Taarifa ya klabu imeeleza kuwa watakaochukua nafasi zao watatangazwa hivi karibuni.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *