Posted By Posted On

Photos from YuzoSports’s post

Kikosi cha Yanga SC leo hii kimeendelea na maandalizi ya mchezo ujao wa Ligi Kuu soka Tanzania dhidi ya Biashara United ya mkoani Mara siku ya Jumamosi uwanja wa Karume Musoma.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *