Inaelezwa kuwa klabu ya Simba SC 🇹🇿 inafikiria kumsajili tena full back wa Ghana aliyewahi kuichezea klabu hiyo Nicholas Gyan k…
Inaelezwa kuwa klabu ya Simba SC 🇹🇿 inafikiria kumsajili tena full back wa Ghana aliyewahi kuichezea klabu hiyo Nicholas Gyan katika dirisha la usajili la mwezi January ili kuimarisha safi yake ya ulinzi kwaajili ya michuano ya CAF
,
Comments (0)