Posted By Posted On October 30, 2020 JUMA NYOSSO AFUNGIWA MECHI TATU KWA KUMKANYAGA MORRISON MECHI YA RUVU NA SIMBA SC BEKI wa Ruvu Shooting, Juma Said Nyosso amefungiwa mechi tatu kwa tuhuma za kumkanyaga kwa makusudi kiungo Mghana wa Simba SC, Bernard Morrison. , Tags:
Comments (0)