Posted By Posted On

“Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Simba haitachukua ubingwa tena msimu huu, naendelea kuamini tena na tena kwamba tuna kikosi bora…

“Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Simba haitachukua ubingwa tena msimu huu, naendelea kuamini tena na tena kwamba tuna kikosi bora kuliko timu yoyote ktk taifa hili na najua soon itadhihirika hata Kwa wanaotupinga leo!!

Guys We will be back Stronger and Stronger and Stronger,Insha’Allah”

Haji Manara

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *