
Straika wa timu ya taifa ya Zambia πΏπ² Patson Daka huenda akaukosa mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya timu ya taifa ya Botswana π§πΌ. …
Straika wa timu ya taifa ya Zambia πΏπ² Patson Daka huenda akaukosa mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya timu ya taifa ya Botswana π§πΌ.
Ni baada ya klabu yake ya Red Bull Salzburg kuthibitisha kupata majeraha kwenye mchezo wao wa klabu bingwa Ulaya dhidi ya Atletico Madrid na hatoweza kucheza kwa majuma kadhaa.
,
Comments (0)