Posted By Posted On

ZA CHINICHINI: Sven akichomoka hapa, aisee akatambike

HUKO Msimbazi mambo sio shwari, kwani mabosi wa klabu ya Simba wameanza kupangusa benchi lao la ufundi kwa kuwaondoa kocha wa makipa, Mwarami Mohamed ‘Shilton’ na meneja wao, Patrick Rweyemamu huku Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck akiwekwa mtegoni na wasaidizi wake.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *