Barbara: Nina makocha wapya watatu
MAKIPA wa timu ya Simba wanaendelea kujifua bila ya kuwa na kocha wao, Mharami Mohammed ‘Shilton’ aliyetimuliwa sambamba na meneja Patrick Rweyemamu, siku chache tangu timu hiyo ilipopoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons na Ruvu Shooting.,Read More
Comments (0)