Posted By Posted On

Happy Birthday mshambuliaji, Emiliano Sala ambaye leo kama angekuwa duniani angekuwa anatimiza miaka 3ļøāƒ£0ļøāƒ£ šŸŽ‚ Alifariki Janua…

Happy Birthday mshambuliaji, Emiliano Sala ambaye leo kama angekuwa duniani angekuwa anatimiza miaka 3ļøāƒ£0ļøāƒ£ šŸŽ‚

Alifariki January 21, 2019, baada ya kupotea na ndege aliyokuwa anasafiri nayo kutoka Ufaransa kwenye klabu ya Nantes kujiunga na klabu ya Cardiff City kipindi hicho akishiriki ligi kuu ya England.

Sisi wanasoka tutaendelea kukukumbuka milele, Emiliano Sala. ā™„ļø

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *