
Happy Birthday Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford π Uwanjani: πMechi – 223 β½οΈ Mabao – 74 π― Assists – 41 π UEL…
Happy Birthday Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford π
Uwanjani:
πMechi – 223
β½οΈ Mabao – 74
π― Assists – 41
π UEL, FA Cup, League Cup, Community Shield
Nje ya Uwanja:
π± Fed 4 million kwa ajili ya watoto
π Alishawishi Serikali ya England kubadili baadhi ya kanuni zake
π Alitunukiwa tuzo ya MBE
π₯ͺ Bado anaendelea kupambana kuokoa watoto wanaoishi mazingira magumu pale UK
Leo Amefikisha miaka 2οΈβ£3οΈβ£ star wa ndani ya Uwanja na nje ya uwanja. π
,
Comments (0)