Posted By Posted On

Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima anaukosa mchezo wa leo dhidi ya Biashara United kwa sababu ni mgonjwa, Hata hivyo anaendele…

Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima anaukosa mchezo wa leo dhidi ya Biashara United kwa sababu ni mgonjwa, Hata hivyo anaendelea vizuri na kuleta matumaini ya huduma yake kupatikana katika mchezo ujao wa klabu yake dhidi ya Gwambina FC.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *