Posted By Posted On

TWAHA KIDUKU AMSHINDA BONDIA WA THAILAND TKO RAUNDI YA SABA

BONDIA, Twaha Kassim Rubaha (kushoto), maarufu kwa jina la utani Twaha ‘Kiduku usiku wa jana amesmhinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya saba, Mthailand Sirimongkhon Lamthuam katika pambano lililokuwa la raundi 10 uzito wa Super Welter lililofanyika ukumbi wa PTA, Saba Saba, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *