Yanga yavunja mwiko Musoma, Kaze achekelea
MUSOMA. Akili, nguvu na kasi aliyotumia winga wa kulia, Ditram Nchimbi na kazi nzuri aliyoifanya Straika, Michael Sarpong imeiwezesha Yanga kuibuka na pointi tatu muhimu katika mchezo wao dhidi ya Biashara United.,Read More
Comments (0)