Azam tatizo lipo hapa tu
AZAM imepoteza pointi tano katika Ligi Kuu baada ya juzi usiku kulazimishwa sare na JKT Tanzania, huku wakitoka kupoteza bao 1-0 kwa Mtibwa Sugar, ikielezwa kukosekana kwa Obrey Chirwa kumekwamisha Prince Dube kuendeleza moto wake wa kutupia mabao nyavuni.,Read More
Comments (0)