Posted By Posted On

BARCELONA YAAMBULIA SARE YA 1-1 KWA ALAVES LA LIGA


Nahodha wa Barcelona, Muargentina Lionel Messi akitafuta maarifa ya kuwatoka wachezaji wa Deportivo Alavés kwenye mchezo wa La Liga timu hizo zikitoka sare ya 1-1 jana Uwanja wa Mendizorroza. Luis Rioja alianza kuifungia Alaves dakika ya  31, kabla ya Antoine Griezmann kuisawazishia Barcelona dakika ya 63
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *