Posted By Posted On

Kocha wa klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Josef Zinnbauer ametangaza kuachana na klabu hiyo dakika chache baada ya kui…

Kocha wa klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Josef Zinnbauer ametangaza kuachana na klabu hiyo dakika chache baada ya kuiongoza timu hiyo kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kaizer Chiefs katika mchezo wa Kombe la MTN8 hapo jana.

Josef Zinnbauer ameachana na timu hiyo na kurudi kwao Ujerumani kwa ajili ya kwenda kumuuguza mwanae.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *