Posted By Posted On

Kocha wa Simba Sven Vanendenbroeck amethibitisha kuwa wachezaji watatu wa Simba, Meddie Kagere, Chris Mugalu na Gerson Fraga haw…

Kocha wa Simba Sven Vanendenbroeck amethibitisha kuwa wachezaji watatu wa Simba, Meddie Kagere, Chris Mugalu na Gerson Fraga hawatakuwa fiti kuikabili Yanga katika pambano la watani wa jadi wikiendi hii. Imedhihirika Fraga atakuwa nje kwa kipindi cha miezi sita na hivyo kukosa mechi zote zilizosalia msimu huu.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *