
KUTOKA SIMBA Kocha wa Simba SC Sven Vandenbroeck amesema kuwa Meddie Kagere atakuwa nje kwa muda baada ya kuwa majeruhi Sven …
KUTOKA SIMBA
Kocha wa Simba SC Sven Vandenbroeck amesema kuwa Meddie Kagere atakuwa nje kwa muda baada ya kuwa majeruhi
Sven amesema Chris Mugalu bado ana shaka kubwa kama atapona majeraha yake
Kuhusu Gerson Fraga kocha wa Simba amesema kiungo huyo atakuwa nje kwa miezi Sita
#sokaplaceupdates
,
Comments (0)