Posted By Posted On

Mshambuliaji wa kimataifa wa Benin 🇧🇯, Marcellin Dégnon Koukpo (24) ameripotiwa kutua nchini Algeria leo tayari kwa kusaini mkat…

Mshambuliaji wa kimataifa wa Benin 🇧🇯, Marcellin Dégnon Koukpo (24) ameripotiwa kutua nchini Algeria leo tayari kwa kusaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia mabingwa wa nchini humo ღ CRBelouizdad ღ

Koukpo mara ya mwisho alikuwa klabu ya CS Hammam-Lif ya ligi kuu ya Tunisia ambapo katika msimu wake wa mwisho alifunga mabao 4 kwenye mechi 24 alizocheza.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *