Posted By Posted On

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya soka ya Simba, Mohammed Dewji, amesema mpira wa Tanzania kamwe hautasonga mbele ku…

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya soka ya Simba, Mohammed Dewji, amesema mpira wa Tanzania kamwe hautasonga mbele kutokana na mwenendo wa uchezeshaji, akitolea mfano goli la Luis Miquissone dhidi ya Mwadui FC, lililokataliwa kuwa ni la kuotea.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *