
Photos from YuzoSports’s post
EPL : Leo Saa 01:30 usiku.
Vikosi vya Manchester United vs Arsenal
Man Utd — De Gea; Wan-Bissaka, Lindelöf, Maguire(C), Shaw; Fred, McTominay, Pogba; Bruno Fernandes; Rashford, Greenwood.
Arsenal — Leno; Bellerín, Gabriel Magalhães, Holding, Tierney; Mohamed Elneny, Partey, Saka; Willian, Lacazette, Aubameyang(C).
.
.
Wachezaji waliotengeneza nafasi nyingi msimu kwa timu zote mbili:
◉ Bruno Fernandes (18)
◎ Dani Ceballos (9)
◎ Marcus Rashford (7)
◎ Pierre-Emerick Aubameyang (7)
◎ Willian (7)
,
Comments (0)