Posted By Posted On

Photos from YuzoSports’s post

Mshambuliaji wa Simba SC, Méddie Kagere akiwa mazoezini leo kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Rwanda inayojiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu AFCON, November 11 mwaka huu dhidi ya Cape Verde.

Kagere amaenza mazoezi mepesi baada ya kuwa nje ya dimba kwa wiki kadhaa kutokana na kuwa majeruhi huku akitegemewa kurejea dimbani ndani ya kipindi cha wiki mbili hadi tatu zijazo.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *